Misitu na Nyuki in English Forests and Bees.
Nimejitolea kuelimisha jamii na ulimwengu juu ya uhifadhi bora wa Misitu na umuhimu wake pamoja na ufugaji Nyuki, pia faida za kutumia mazao ya Nyuki pamoja na kuyauza kama vile Asali, Nta, Maziwa ya Nyuki, Mkate wa Nyuki pamoja na Gundi ya Nyuki.
Karibuni
Follow me twitter @MisituNa (Misitu na Nyuki).
Misitu ni Mali.
Nyuki kwa Maendeleo.
Misitu na Nyuki kwa Faida ya Ulimwengu Mzima.
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.