Mtu mwenye kupenda maisha ya haki, amani , huru pasipo kuingilia imani, itkadi za wengine kwani naamini kila mtu ana namna ya kuona na kuchagua linalomfaa, katika haya nami huwa sipendi kuingiliwa katika maisha yangu binafsi.
Tumaini langu ni kwamba iwapo binadamu wote tutaishi kwa kuheshimiana basi thamani ya maisha yataongezeka, upendo yatakuwa ni matokeo ya fikra njema juu ya maisha ya wengine.
Imani yangu ipo katika utu na ubora wa maisha ya kijamii.
- Location
-
Dar es salaam
- Gender
- Male
- Occupation
- Social Livelihood Volunteer
- Facebook
- nzwangaar
- Twitter
- nzwangaar
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.