Mwl. Mazeru nilianza mafunzo ya karate mwaka 2003 chini ya sensei bakari kabwe na sensei isa hasan, katika mkoa wa kigoma ujiji, wilaya ya kigoma mjini, mtaa wa machinjioni jirani na makumbusho ha dr living stone. Piz, nilipata mafunzo ya karate katika club ya hantei shiai na club ya sabasaba shotokan club. Vilevile nilipita kwa waalimu wengine wa karate kama vile sensei jango, sensei yahaya mgeni, sensei udu, sensei na babu. Ulipo fika mwaka 2010 ndipo nikaamua kujiendeleza mimi mwenyewe kwa njia ya kusoma vitabu mbalimbali vya sanaa za mapigano na kuvifanyia mazoezi makali ambayo leo hii yamenifanya nami niitwe mwalimu .
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
30
Your messages have been liked 25 times.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.