Nzallacado oil

NZALLACADO OIL ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 2016 nchini TANZANIA. kampuni hii inajishughulisha na uzalishaji na uuzaji wa mafuta asilia ya parachichi (pure avocado oil) pamoja na mafuta asilia ya myonyo au mbalika (pure castor oil). Kampuni yetu ndio kampuni pekee nchini TANZANIA inayozalisha mafuta asilia ya parachichi (pure avocado oil). Kwa mahitaji Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo. 0716 929475 / 0715 305057.

Signature

Nzallacado oil co ltd

Trophies

  1. 25

    Somebody Likes You

    Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
  2. 20

    First Message

    Post a message somewhere on the site to receive this.
Back
Top Bottom