You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
pseudownym
Wananchi wa wilaya ya mlimba mkoani morogoro wanapata adha ya kuvuka katika kivuko Cha kikove kilichopo kata ya mpanga. Wananchi hao wamesema kuwa wanahatarisha maisha yao pindi wanapo vuka katika kivuko hiko kwani usafiri wanao tumia ni mtubwi na sio pantoni. Hata hivyo wananchi wa wilaya ya mlimba wameiomba serikali kuwatengenezea miundombinu mizuri katika kivuko hiko ili kuokoa maisha yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.