You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
superlifemust
Wasambazaji wa bidhaa za afya za SuperLife. Bidhaa hizi zina Virutubisho muhimu na vya kipekee vitokanavyo na Seli Shina za Mimea.
Seli shina hizi zimethibitika kuwa na uwezo wa kurekebisha matatizo ya afya kuanzia kuanzia kwenye Seli Shina za mwili; na kuuwezesha mwili kurejea katika Afya na Ubora wake.
Kampuni ya SUPERLIFE WORLD ilizinduliwa rasmi mwezi Mei mwaka 2017 nchini Malaysia na ndani ya miaka 4 kampuni hii imefanikiwa kushirikisha bidhaa zake katika Mabara yote 7 duniani na katika nchi zaidi ya 45 ikiwemo Malaysia, Tanzania, Marekani na nchi nyingine lukuki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.