Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network (PSN).
Jukumu letu ni moja tu: Kumsaidia Rais kukubalika na wananchi mitaani kupitia huduma zinazotolewa kwa wananchi mitaani.
Tunafanikisha hili kupitia programs zetu mbalimbali zinazowagusa wananchi moja kwa moja mitaani.
Hatuna itikadi na wala hatuamini katika itikadi ya vyama vya kisiasa. Tunaamini Rais ndio nchi. Rais ndio wananchi. Nchi ndio Rais. Wananchi ndio Rais.
Tunaamini kila mmoja anawajibika kumsaidia Rais bila kujali itikadi za kisiasa. Kumsaidia Rais ni kusaidia nchi. Kumsaidia Rais ni kuwasaidia wananchi.
Kwa mawasiliano zaidi:
Mratibu Mkuu,
Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais (PSN),
Mobile: +255 (0) 675 777 162.
Email: presidentsntz@gmail.com
Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais nje ya mfumo wa vyama vya kisiasa (President Supporters Network - PSN) - TANZANIA. Hatujihusishi na itikadi ya vyama vya kisiasa. Kujiunga, WhatsApp ~ +255675 777162
-
25
Content you have posted has attracted 100 likes.
-
100
You've posted 100 messages. I hope this took you more than a day!
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
30
Your messages have been liked 25 times.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.