Mimi ni wanamke ninae penda kuwa
na amani na furaha wakati wote.
Natafuta mume, niliwahi kuolewa lakini hatukupata watoto, mimi sina watoto na ambae pia hana watoto, ili tupate watoto wetu pamoja.
Mimi silewi wala sivuti sigara n.k na
najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini.
Na nahitaji mume ambae yuko kwenye
misingi ya dini pia havuti sigara, halewi n.k
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa anaefanya kazi au biashara.
Elimu kamaliza college (huko mnaita
fomu 6) sio lazima kamaliza chuo kuwa
hata mimi pia sikumaliza lakini nitajiendeleza.
Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofisini, nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa kuanzi miaka 41 mwisho 50, muislamu hana mke/wake, anaishi London na sio mji mwengine wa UK, mimi
ni 5'2" awe kuanzia 5’8”, rangi kama yangu kwenye picha yangu ya Avatar, vile vile Mzanzibari mwezangu. Ahsanteni saaana 🙏🙏
Tafadhali kama huna vigezo vyote nisamehe kuwa sitoweza kujibu, na kama huna uhakika tafadhali uliza kabla ya kunihukumu au kutumia lugha mbaya.
Tafadhali nisiombwe namba wala picha zaidi ya hiyo kwenye avatar yangu, tukubaliane kwanza mengine yatafuata inshaaalah kwa uwezo wake M/Mungu.
- Location
-
London
- Gender
- Female
- Occupation
- Office work
-
500
Content you have posted has attracted 500 likes.
-
250
Your content has been liked 250 times.
-
25
Content you have posted has attracted 100 likes.
-
100
You've posted 100 messages. I hope this took you more than a day!
-
30
Your messages have been liked 25 times.
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.