√ Threads

Brela BRELA Niwaite Hapa Tuongee: Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT...
1 Reactions
6 Replies
347 Views
Baada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
WaziriI wa Maji, Jumaa Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam, Baada ya Mdau wa JamiiForums kulalamikia Ratiba ya Masomo ya Chuo cha ustawi wa jamii Kwamba Wanafunzi wanasoma hadi hadi saa 4 usiku kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wanafunzi...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii...
1 Reactions
0 Replies
239 Views
Taka zilizokuwa zimerundikwa barabarani kwa zaidi ya siku tatu eneo la Tegeta - Kwandevu na kusababisha kero kwa waendeshaji wa vyombo vya moto sambamba na kuhatarisha afya za Wananchi umezolewa...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Salaam Wakuu, Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi. Hapa chini ni Ufafanuzi; "Ufafanuzi...
2 Reactions
7 Replies
773 Views
Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
KAMPUNI ya Azam Marine inatarajia kuzindua vivuko nane vya expres ambavyo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 95 na vinatarajia kusafirisha abiria wanaovuka kwenda Kigamboni kwa haraka zaidi...
3 Reactions
7 Replies
435 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji. Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo...
1 Reactions
0 Replies
179 Views
DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba...
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, akijibu hoja ya Mdau kuhusu uhana wa Maji Kijiji cha Bukundi, amesema Taarifa hiyo sio ya kweli katika muktadha wa uhalisia ulivyo katika Mradi huu uliopo mkoani...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alilalamikia utendaji kazi wa TASAF Wilaya ya Songea. Alidai Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikitokea ni baadhi ya wahusika kuondoa wanufaika kwenye mfumo kwa...
0 Reactions
9 Replies
548 Views
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma...
2 Reactions
4 Replies
570 Views
Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Hivi karibuni Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA, kushughulikia changamoto ya Wateja wa Mita za Maji za Prepaid kukosa Tokeni. Wafanyakazi wa BUWASA wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
226 Views
Soko la Msufini lililopo eneo la Msufini katika Manispaa ya Singida hivi karibuni kulikuwa na changamoto ya uchafu katika sehemu ambayo ilifikia hatua ya kuitwa Dampo la Msufini. Dampo hilo hivi...
1 Reactions
0 Replies
305 Views
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai kwamba Wananchi wa Kata ya Uyui iliyopo mkoa wa Tabora kuwa hawajawahi kupata maji ya Bomba tangu Nchi ipate uhuru,(DOKEZO - Inadaiwa Wananchi wa Kata ya Uyui...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Back
Top Bottom