Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
Baada ya Trump kutangaza kusitisha misaada nchini humo kisa madai ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na Wazungu kunyanyaswa na kupokonywa ardhi wanazomiliki ambapo Ramaphosa amemtaka Trump aache...
Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
Naomba nisiwekemaneno sana. Pitia video hii ujue nini kimejiri Kinsasha DRC.
Miongoni mwa waliouawa hadharani ni raia wawili wa Marekani na mmoja wa Uingereza
Afrika ni mwendo wa kuuana...
Nimekutana na hii taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mkuu wa kituo cha polisi huko Nkasi mkoani Rukwa amejeruhiwa na wananchi ambapo mpaka sasa wananchi takriban 76 wanashikiliwa na...
Binamu wa rais wa zamani wa Syria, Bashar al-Assad aliukiwa kwa kunyongwa na baada ya kupandishwa juu na crane.
"Baada yakuwasili kwa vikosi vya waasi wa Syria katika mji wa Latakia, ilitangazwa...
Ni upi uhalisia wa video hizi mbili ambazo nafikiri zimetokana na mahojiano ya Jambo TV na Tundu Lissu kuwa amekiri kuwa migogoro ndani ya chama ndiyo chanzo cha kushindwa katika uchaguzi wa...
JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema...
Salaaam wanajukwaa
Nimekutana na video inaonekana kama imepostiwa na Jambo Tv, kichwa cha habari kinasema wananchi wamkosoa Lissu, video hiyo inapoendelea kucheza naona kuna comments zinapop up...
Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba...
Wakuu leo katika pitapita za hapa na pale mtandaoni nimekutana na hii kauli ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara, Benson Kigaila kuwa idadi ya watanzania ni milioni 64 kwa mujibu wa sensa ya watu na...
Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, ameisifu Katiba ya mwaka 1977 huku akitoa rai kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema, kuheshimu na kushiriki kikamilifu...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeibua mkanganyiko mkubwa kwa wanachama na wananchi baada ya kubadili msimamo wake kuhusu kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Awali, chama kilieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.