Watu 17 wakamatwa kwa jaribio la kutaka kuwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania.
Ni muda TCU wawe makini.
---
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Profesa Elifasi Bisanda amekanusha kuvuja kwa mitihani na kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu wakati wa mitihani cmya muhula...