Abbas Kinzasa ndilo jina halisi la Sindano Ndogo Inayoshona Makoti, lakini kutokana na kutotaka kujivimbisha kichwa akajiita asilimia ndogo ama asilimia ishirini kwa lugha ya Kimasai, mwite 20%
Binafsi, nilimfahamu kupitia kipindi cha redio ya Maajabu ama iite Magic FM, kijulikanacho kama BAMIZA...