Hii nchi ina vituko sana, kumbe 5G ni mchongo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mitandao ya simu ikijitapa 5G kuenea nchi nzima, na nape akijitapa hivyo, ukweli ni kuwa hali sio hivyo
Dar sehem nyingi hamna 5G kabisa
Nimeambiwa na tigo ofisi zao mlimani city kuwa 5G kama nataka niende posta...