aanguka akisafiri kwa ungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Apata 'ajali' angani akiwa kwenye ungo aangukia TANESCO

    Taharuki imetanda katika Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, baada ya mwanamke mmoja, ambaye jina lake halijafahamika, kukutwa akiwa uchi ndani ya ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Inadaiwa kuwa mwanamke huyo alikuwa akisafiri kwa ungo (ushirikina) kutoka Masasi, mkoani Mtwara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…