aapishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
  2. Daniel Chapo aapishwa kuwa Rais wa Msumbiji

    FRELIMO wamebaka uchaguzi na Daniel Chapo sasa yupo Ikulu. Viva FRELIMO vivaaa
  3. Profesa Abraham Kithure Kindiki aapishwa kuwa Naibu Rais Kenya

    Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya. Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi. Kindiki anachukua...
  4. Boniface Mwabukusi aapishwa kuwa Rais wa TLS. Aanza kazi rasmi

    Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika. Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu. Uapisho huo umefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Wakili Boniface Mwabukusi alitangazwa kuwa Mshindi wa...
  5. Kamishna Mpya Ngorongoro, Richard Kiiza Aapishwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
  6. F

    Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
  7. Wickremesinghe aapishwa kuwa rais wa mpito wa Sri Lanka

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Ranil Wickremesinghe ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Sri Lanka hadi Bunge litakapomchagua mrithi wa Gotabaya Rajapaksa, aliyeikimbia Nchi hiyo na kisha kujiuzulu kufuatia maandamano ya umma. Maandamano hayo yalitokana na mallamiko kuhusu hali duni ya kimaisha Nchini...
  8. Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius S. Mtatiro aapishwa kuwa Wakili

    MTATIRO AAPISHWA KUWA WAKILI Katika sherehe za 66 za kupokea Mawakili wapya leo, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Julius S. Mtatiro Esq. ni miongoni mwa mawakili wapya 335 walioapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma kuwa Mawakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mahakama zilizopo...
  9. Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…