ABDULWAHID SYKES NA NDUGUZE HISTORIA ILIYOPOTEA
Gazeti Raia Mwema la Ijumaa tarehe 21 Mei, 2021lilichapa taazia ya Abbas Sykes kwa bahati mbaya wakaweka picha za kaka yake, Ally Sykes badala ya Abbas Sykes.
Gazeti la leo likaomba radhi kwa kusema kuwa waliweka picha ya Kleist Sykes ilhali...
MENGI BWANA ABBAS ALINIELEZA NA MENGI BALOZI AMEINGIANAYO KABURINI HAKUNAMBIA
Tuko kwenye khitma ya Abbas Sykes Msikiti wa Makuti, Kisiwandui Zanzibar niko bega kwa bega na Sheikh Ibrahim Moeva.
Sheikh Moeva na Abbas Sykes wote wametumikia Tanzania nchi za nje na wakifahamiana vyema...
BALOZI ABBAS SYKES ASOMEWA KHITMA ZANZIBAR
Ndugu, jamaa na marafiki wa Balozi Abbas Sykes jana walimsomea khitma Msikiti wa Makuti Kisiwandui.
Wanasiasa wanapenda sana pale wapouzungumza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kusema kuwa muungano baina ya watu wa nchi hizi mbili ulikuwako kwa...
KUTOKA MAJILIS YA ABBAS SYKES
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka thelathini si CCM wala si rafiki yake mpenzi Julius Nyerere alikuwa anafahamu Dossa anaishi vipi na ana hali gani.
Rafiki zake wachache waliokuwa wakimtembelea nyumbani kwake pale Mlandizi walihuzunishwa na hali yake.
Dossa ‘’The...
IWEJE CHAMA CHA MAPINDUZI HAWAKUPO KATIKA MAZIKO YA ABBAS SYKES?
Hukaa mara nyingi sana nikajiuliza na si katika kujipigia tarumbeta bali ni katika kufikiri kuwa ingekuwaje kama Kleist Sykes asingeandika historia ya maisha yake kabla ya kufariki kwake mwaka wa 1949.
Mzee Kleist katika mswada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.