Wakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa...
Wakuu,
Ukisikia vituko majimboni ndio hivi :BearLaugh: :BearLaugh: , mwenyewe yuko proud hapo kwenye picha hana hata haya:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
====
Mbunge wa Kinondoni Mhe. Tarimba Abbas, akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM Kata ya Magomeni Bw. Mohamed Mwinyi, Mafeni sita kwa ajili...
I declare Interest. Mimi ni Mwanayanga mpenzi wa mchezo wa Mpira wa Miguu.
Nmemsikia Tarimba Abas akiwa Bungeni na pia akihojiwa na vyombo vya habari. Ukimwona Bwana Tarimba kabla hajaongea unaweza sema atakuwa na Busara au Akili.
Akija kuongea utasikitika na kujiuliza kwa nini ameongea? Ni...
Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake?
Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
Uongozi wa Rais wa sasa Karia umekuwa na mapungufu mengi sana katika soka la Tanzania hivyo ninakuomba Mhe. A. Tarimba uchukue fomu ya Urais ili uokoe jahazi hili la TFF linaloenda kuzama.
Mara ya mwisho kukuona ilikuwa kwenye kampeni, sababu kubwa ya uzi huu ni kutaka kujua sisi wakazi wa Kigogo lini tutaanza kuona miradi ya barabara za mitaani maana mitaa mingi jijini Dar ujenzi wa barabara za mitaani zinaendelea tena huku zikinakishiwa na mataa pembezoni, wote tumo ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.