"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi...