Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro - AMICAL waliofika kujitambulisha kwake. Ujumbe huo uliowajumuisha Katibu Mkuu Youssouf Said Ali ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Elimu wa Rais wa Comoro, Msemaji wa AMICAL...