Nakumbuka;
Nikiwa mdogo mdogo hivi kuna "BIBI" mmoja alifariki pale kijijini, yule bibi alikuwa anasadikika ni mshirikina "mchawi".
Wakati ulipowadia wa kukaribia kufariki, yaani anakaribia kukata roho, alikuwa akiweweseka sana, wale ndugu zake waliokuwa wakimuuguza walimsikia akiongea maneno...
Ashakumu sio Matusi lakini Asha wa siku hizi ni mcharuko wa matusi.
Nilidhani imetosha kumbe bado naendeleea kujifunza. Niliwahi kusema; ndani ya Chadema ukiachana na upinzani wetu wa jadi, kwamba sisi ni bora kuliko wao na wao kuamini wao ni bora kuliko sisi. Basi najihisi bado kuna hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.