Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi kuzungumza vizuri.
Mchinjita ameyasema hayo usiku huu (2:15 Disemba 02, 2024) baada ya kufika katika...