Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo kwa sasa akiwa amelazwa katika hospitali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa na...
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na...
Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi;
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa...
Wakuu,
Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa...
Wakuu,
KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa sehemu ya viongozi wa kitaifa walioongoza kampeni kwenye mikoa ya magharibi mwa...
Wakuu,
Waliomteka Bonge haitofautiani sana na yule wa Dar 24, wote wanajulikana sema kwa Bonge wameonekana na Watanzania wote, wapo waliotoa taarifa zao huko X na kule Stedi ya Magufuli wanajulikana vizuri japokuwa walikuwa wakitumia majina tofauti, wala siyo siri, lakini mpaka sasa hakuna...
Wakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.