Wakuu,
Haya jamani mliokuwa na kiherehere kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM, mna salamu zenu huku kutoka kwa Makalla
Kaeni kwa kutulia
=======================================================
Chama cha Mapinduzi CCM kimewataka wanachama wake kuachana na watu wanaobashiri...
Tangazo la Uchaguzi wa Mrithi wa Kinana
Tunaeleza kwa furaha kuwa mchakato wa kutafuta mrithi wa Kinana utaanza rasmi mwezi Januari 2025.
Huu ni mchakato muhimu kwa chama chetu, na tunawahimiza wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wana uwezo, nia, na sababu za kugombea nafasi hii...
Nimekumbuka kuna siku tuliambiwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama mitandaoni. Wakati ule upepo wa matusi ulivuma sana kwa muda mfupi kisha ukazima
Naamini mfumo ulifanyia kazi maelekezo ya mwenye nchi kuona tatizo lipo wapi. Je haiwezekani ripoti imetoka na mapendekezo ya ripoti...
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa,
Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
Kwanini Kinana alirudisha majeshi CCM, kujiuzulu?
Na Luqman Maloto
Julai 29, 2024, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Abdulrahman Kinana kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho-Bara.
Uamuzi kama huo ulikuwa Mei 28, 2018, Kinana...
Mzee Kinana
Salaam, shalom!!
Ndani ya chama Cha MAPINDUZI CCM, umewafundisha siasa vijana wengi sana, inawezekana wamefaulu machache kati ya mengi uliyowafundisha,
Somo linalohusu uwajibikaji wa pamoja umelifundisha sana tena Kwa vitendo, imekuwa mjenga HOJA mzuri, umejiuzulu mara kadhaa pale...
Hypocrites politicians
PIA SOMA
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika.
Katika majibu yake Mwenyekiti...
Bada ya kuwaondoa January na Nape kwenye baraza lake la mawaziri, Rais Samia anaweza kufanya mabadiliko zaidi katika serikali na chama tawala kabla ya uchaguzi ujao. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana anaweza kuwa mtu wa juu anayefuata kukihama chama tawala.
Kinana, January na Nape...
Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani hajamaliza vipindi viwili vya Urais wake. Amesema hayo akimlenga Rais wa Sasa.
Uwongo wa Kinana upo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.