Siku moja baada ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro kutoa ripoti inayoonyesha kuwepo kwa abiria wenye lengo la kuhujumu Shirika Hilo hatimaye Leo Shirika la Reli (TRC) Limekiri kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya abiria wa Treni ya umeme...