Abiria waliokua wakisafiri na treni ya TAZARA kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya wamepaza sauti zao kujua nini hatima ya safari yao baada ya kukaa stesheni ya treni Dar es salaam tangu jana septemba 3, wakisubiri kusafiri mpaka leo septemba 4, baada ya kupokea matangazo ya kuahirishwa kwa safari...