abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali kwa pamoja kama wa bus za abiria?

    Kwa nini wasafiri wa ndege huwa hawasali au kufanya dua/maombi ya kuombea safari kwa pamoja kama wasafiri wa bus za abiria? Bus zote za abiria ambazo nimesafiri nazo lazima wafanye maombi hata hadi ya dakika 10 kuombea safari, kwenye ndege sijawahi kushuhudia kabisa hili jambo la maombi ya jumla.
  2. B

    Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  3. Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  4. Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  5. Abiria wanene walipe nauli kubwa zaidi

    Kampuni za ndege huenda hivi karibuni zikaanza kuwalipisha kiwango kikubwa cha pesa cha bei ya tiketi abiria wanene wenye uzito mkubwa ukilinganisha na ile watakayolipa Watu wenye uzito mdogo hii ikiwa ni sehemu ya maboresho yanayochangiwa na mambo mbalimbali ikiwemo kilichoelezwa kitaalamu kuwa...
  6. U

    Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  7. KERO Wasafirishaji wa abiria jijini Tanga badilikeni

    • Mhadhara (80)✍️ Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo. Tanga ni jiji zuri sana lakini linadorora kwasababu ya uvivu kutoka kwa wenyeji. Ukichelewa kufika...
  8. Kwa usalama wa abiria - Ndege za ATCL zisitishe safari za Congo

    M23 wasije wakatawanya ndege zetu angani huko Congo
  9. Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani. Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
  10. KERO Kituo kidogo cha magari Simike - jijini Mbeya kinahatarisha usalama wa abiria

    📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi. Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
  11. KERO Tabia ya Gari za Abiria Barabara ya Mbeya - Kyela (Kilometa 120+) kubeba Abiria kuliko uwezo ni hatari kwa usalama

    Magari ya abiria ya Barabara ya Mbeya kwenda Kyela, hapo namaanisha kutoka wilaya moja kwenda nyingine yanajaza sana abiria tofauti na uwezo wake. Gari hizo zimekuwa na utaratibu wa kutoa Viti vya katikati kisha wanasimamisha abiria, fikiria umbali wa zaidi ya Kilometa 120 Watu wanasimama ndani...
  12. Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  13. Nashauri serikali ianzishe route za daladala zinazo zunguka duara bila kurudi nyuma pia daladala zipewe namba maalumu ili zitambuliwe na abiria

    Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi wanategemea daladala kama njia ya usafiri wa kila siku. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazohusiana...
  14. Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  15. T

    Hotel zinazohudumia abiria haswa usiku zingatieni usafi

    Hivi karibuni nilisafiri kutoka Mkoa flani nikalala Singida, kesho yake nikasafiri usiku kwenda Dar. Tulipofika Dodoma majira ya saa 5 usiku tukashuka kwenye moja ya hotel kwa ajili ya huduma za kijamii. Aisee mazingira ya maliwato ni mabovu. Kuchafu na maji hakuna kabisa. Nikajiuliza ni day...
  16. Bashungwa Awajulia Hali majeruhi Ajali Biharamulo, Abiria 11 Wapoteza Maisha na Majeruhi 16

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
  17. ABIRIA AKUTWA NA KICHWA CHA MTU (MTOTO)

    Tarehe 19/12/2024 abiria wa bus la Frester VIP T794EHR seat No 40 toka kahama to dar kakamatwa Misigiri Singida anasafirisha KICHWA CHA MTU (mtoto) kwenye begi. Kilikua kinatoa harufu mbaya kwenye gari hadi akashtukiwa. Tuongeze umakini sana kwenye ukaguzi kabla safari haijaanza.
  18. Mamlaka zifuatilie Daladala zinazohatarisha usalama wa Abiria kwa uendeshaji mbovu na Askari hawachukui hatua

    Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje. Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
  19. Madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 wamefutiwa leseni zao kuanzia Agosti hadi Novemba

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamebainishwa leo Desemba 12, 2024 na Mkuu wa Idara ya Elimu ya Usalama...
  20. Mbeya: Abiria washushwa kwenye mabasi na kurudishiwa nauli zao kisa mabasi kubeba abiria kuzidi uwezo

    Zaidi ya abiria 20 wameshushwa na kisha kurudishiwa nauli zao kutoka kwenye mabasi mawili tofauti yanayofanya safari ya masafa marefu kupitia mkoani Mbeya baada ya mabasi hayo kukaguliwa na kubainika yamezidisha abiria kinyume cha sheria. Abiria hao wameshushwa baada ya kikosi cha usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…