abraham lincoln

  1. Gordian Anduru

    Dejavu: Abraham Lincoln, Rais wa Marekani aliyeota kifo chake

    DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu kutabiri au kuhisi matukio yatakayotokea, jambo linalojulikana kama déjà vu au hata ndoto za utabiri...
  2. The Sheriff

    Mambo yanayofanana kuhusu maisha ya Marais wa Marekani Abraham Lincoln na John Kennedy: Je, haya yalitokea kwa bahati tu au kuna jambo tofauti?

    Ni hivi, watu hawa wawili ni miongoni mwa viongozi maarufu zaidi katika orodha ya Marais wa Marekani. Abraham Lincoln na John F. Kennedy kila mmoja aliongoza Marekani na kupitia baadhi ya misukosuko mikubwa katika historia za uongozi wao. Mauaji yao yalitikisa siyo tu Marekani, bali dunia mzima...
  3. Mohamed Said

    Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  4. DR Mambo Jambo

    Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

    Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100, Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi.... Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)...
  5. Mhaya

    Majamaa walioingilia Mitikasi ya watu na hawakuachwa Salama

    Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
  6. Rashda Zunde

    Rais Samia Suluhu Hassan, Mwanademokrasia bora

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia. Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
Back
Top Bottom