Alizaliwa nchini Jamaica na alisomea nchini Canada, alipata shahada ya kwanza katika biochemistry.
Kwa kuwa anatoka katika familia ya Kikristu, maisha yake ya awali aliishi kama Mkristu.
Wakati akiendelea na masomo yake nchini Canada, alitokea kuvutiwa na itikadi ya Kikomunist. Ni katika...