Huyu Asenga asituchezee akili na kutufanya sisi watoto wadogo
Abubakar Asenga, Mbunge wa Jimbo la Kilombero katika Mahojiano na Wasafi TV amesema;
"Mimi kama mtoto wa fundi Cherehani nimevaa suti ya aina moja kwa miaka mitano, mkanda wangu nimevaa wa plastiki wa elfu 3 na kiatu changu hakizidi...