ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH AKIZUNGUMZWA KUTOKA ZANZIBAR
Nimeizungumza historia ya Abushiri Pangani nikiwa nimesimama Mtaa wa Uhindini, nikiwa njiani naelekea kwenye kaburi lake.
Nimemzungumza Abushiri nikiwa pembeni ya kaburi lake.
Mazungumzo haya kwa mara ya kwanza yamedhihirisha kuwa...