Wakubwa naombeni msaada wenu.
Kaam kichwa chahabari kinavyojieleza, nimejaribu kuedit kwenye academic qualifications lakini naona vyeti vyangu bado viko vile vile, nimepiga simu huduma kwa wateja ile ya mkononi na ya mezani kwa AJIRA PORTAL ila hawapokei simu zangu zaidi yakumaliza dakika zangu...