accountability

Accountability, in terms of ethics and governance, is equated with answerability, blameworthiness, liability, and the expectation of account-giving. As in an aspect of governance, it has been central to discussions related to problems in the public sector, nonprofit and private (corporate) and individual contexts. In leadership roles, accountability is the acknowledgment and assumption of responsibility for actions, products, decisions, and policies including the administration, governance, and implementation within the scope of the role or employment position and encompassing the obligation to report, explain and be answerable for resulting consequences.
In governance, accountability has expanded beyond the basic definition of "being called to account for one's actions". It is frequently described as an account giving relationship between individuals, e.g. "A is accountable to B when A is obliged to inform B about A's (past or future) actions and decisions, to justify them, and to suffer punishment in the case of eventual misconduct"and more. Accountability cannot exist without proper accounting practices; in other words, an absence of accounting means an absence of accountability. Another key area that contributes to accountability is good records management.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Dorothy Gwajima, ingilia kati harakati za Mwenyekiti wa SUMAUJATA Wilaya ya Moshi Vijijini mtoto huyu apate haki ya elimu

    Ninaandika barua hii nikibubujikwa na Machozi Mimi kama Mzazi lakini nasitika kuona vyombo vya Dola ikiwemo ofisi ya mkurugenzi, wilaya Moshi vijijini, Mkuu wa Wilaya kutotimiza wajibu wao ipasavyo kuhakikisha Vitendo vya ukatili kwa watoto hasa wa kike na kiume havikomeshwi mkoani Kilimanjaro...
  2. Uongozi unaowajibika ni mhimili imara katika mapambano dhidi ya changamoto zinazotukabili

    Habari za muda huu popote pale ulipo. Ni matumaini yangu sote ni wazima wa afya, ama kwa yule aliepatwa na mtihani wa maradhi tunamuombea shifaa apone haraka kwa idhini ya aliyetuumba. Moja kwa moja kwenye neno. Kumekua na kukosoa pale mambo yasipoeleweka, kupongeza pale mambo yanapoenda sawa...
  3. Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  4. Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  5. DOKEZO Wanafunzi zaidi ya 100 Mkoani Mbeya walazimishwa kushika kinyesi cha Binadamu kwa mikono na walimu wao

    Tukio la kikatili limeripotiwa kutokea Septemba 7, 2022 majira ya asubuhi Shule ya Sekondari Songwe, Kata ya Bonde la Songwe kwa wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne waliopo shuleni hapo kwa maandalizi ya mitihani ya Taifa. Inadaiwa kuwa walimu wa shule hiyo ambao kwa majina ni Lugongo...
  6. Mchango wa Balozi za Tanzania kwenye kusaidia upatikanaji wa Ajira kwa Watanzania

    Naibu waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesema kuwa Balozi zinatafuta fursa za ajira kwa kuingia mikataba ya ajira nje ya nchi, pia kuhakikisha usalama na maslahi yao. Serikali kupitia TAESA inawezesha watanzania kuomba...
  7. Utafiti: Kuku wa kisasa kwenye Manispaa za Ilala na Kinondoni wana kiwango kikubwa cha dawa za kuua Bakteria

    Utafiti uliofanywa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu Cha Muhimbili kwenye machinjio ya kuku ya Shekilango na Manzese umegundua uwepo wa kiwango kikubwa cha dawa za kuua bakteria ambazo wafugaji huzitumia katika kuwatunza. Watafiti hawa wamebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha dawa ya tetracycline...
  8. Rais Samia akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), 12-9-2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe 12 Septemba, 2022
  9. Rais Samia: Tanzania tuna madini mengi kiasi ambacho mengine hatujui yanaitwaje

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suhulu Hassan amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo Mwenyezi Mungu ameibariki neema nyingi sana. Amesema hayo wakati akitoa hotuba yake kwenye hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya WAWATA (Wanawake Wakatoliki Tanzania) iliyofanyika uwanja wa...
  10. #COVID19 Serikali yaondoa ulazima wa kuvaa barakoa

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi, mfano kwa wale wenye magojwa ya mfumo wa hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani. Hii inatokana na kupungua kwa maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na Duniani kote. Kulingana na...
  11. Mishahara wanayolipwa Viongozi Wakuu nchini Kenya iko wazi, Tanzania hali ikoje?

    Baadhi ya nchi duniani huwa na taratibu za kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu pamoja na wale wanaoongoza mihimili mingine ili wananchi wao waifahamu. Hii ni sehemu ya kuonesha uwazi na uwajibikaji wa Umma kwa kuwa mamlaka yao hutoka huko. Mfano, Rais wa Nchi ya Kenya hulipwa kiasi cha...
  12. Manyara: Mchimba madini mbaroni kwa tuhuma za kumpa mimba mwanafunzi

    Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Erick Peter (36) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite wa kidato cha nne. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga akizungumza leo...
  13. Intern at WAJIBU – Institute of Public Accountability 2 posts

    WAJIBU – Institute of Public Accountability is a local based think- tank institution which was founded with the purpose of promoting public accountability in Tanzania. WAJIBU aims to empower citizens, firstly to understand and appreciate the concept of transparency, accountability and good...
  14. #COVID19 China yaidhinisha Chanjo ya COVID-19 inayotolewa kupitia pua

    Kwa mara ya kwanza duniani, nchi ya China imeidhinisha matumizi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kwa njia ya kuvuta kiasi kidogo cha dozi kupitia pua. Chanjo hiyo iliyopewa jina la CaSino's Ad5-nCoV imetengenezwa kwa kutumia adenovirus, aina ya virusi waliopoozeshwa na...
  15. Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
  16. Ndalichako: Tozo kwenye mshahara inaangaliwa upya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu) Mhe. Joyce Ndalichako amesema kuwa malalamiko ya wafanyakazi kuhusu makato ya mishahara yao yanashughulikiwa kwa kuwa serikali sikivu ya awamu ya 6 imesikia kilio chao. Waziri amewataka wafanyakazi kuviamini vyama vyao...
  17. Bashungwa: Tozo imekuwa mwarobaini wa matatizo sugu

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa baadhi ya sekta muhimu nchini mfano ile ya afya isingeweza kupitia mabadiliko makubwa kama yaliyopo sasa kama tozo sizingekuwepo. Ametolea mfano wa ujenzi wa vituo vipya vya afya 234 ambayo vimekamilishwa kupitia tozo ya miamala ya simu...
  18. Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana. Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther ===== Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
  19. Mwigulu Nchemba: Tozo zina machungu, lakini lazima tuendelee nazo

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kiasi kikubwa cha pesa zinazokusanywa kwenye tozo zinarudi kwa wananchi wenyewe kupitia shughuli za uzalishaji mali. Ametolea mfano wa fedha zinazotolewa kwenye kilimo na wamachinga, pia amesisitiza kuwa pamoja na machungu ya tozo hizi, ni...
  20. Waziri Mwigulu: Tozo zinasaidia kuendesha miradi ya kimkakati

    Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini. Ameyasema haya wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa tozo nyingi zinazolalamikiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…