Wanaanza kwa kukujaza upepo mpaka unajiona umenona, wewe ndio wewe, Mfalme. Wanakulainisha na kukulegeza mpaka miguu inakosa nguvu, huwezi kusimama. Wakianza kuingiza huna cha kuzuia, umekwisha. Kwani michezo yao si tunaijua?! Kila siku tunaisikia na kuicheza, lakini ikifika muda wa kuchambua...