Wakuu baada ya Mo Dewji kudukuliwa nimeona nije na madini hapa ili tukuchue hatari kwani hiki kinaweza kumtokea mtu mwingine. Lakini pia nimeshuhudia marafiki zangu wengi akaunti za mitandao ya kijamii kudukuliwa na kutumiwa na matapeli
Hatua za kufuata baada ya Kudukuliwa:
Wajulishe marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.