Na Mwandishi Wetu, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mfanyabiashara na Mwekezaji Saleh Salim Alamry (54) na mwenzake wakili Sheck Mfinanga, kuharakisha upelelezi wa shauri hilo ili kesi ya msingi ianze kusikilizwa...
Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Madeleka ametaka mshtakiwa akamatwe mara moja kwa kukaidi kufika mahakamani.
Kesi hiyo, ambayo...
Kauli yetu mbiu ni watoto wa bata hawadeki
Leo Msemaji wa serikali acharuka, Asema wavuvi ni wajibu wao kuokoa,
Apongeza uongozi wa kagera kwa jitihada kubwa walizozifanya kuokoa!
Asema siku ya tukio wataalamu na wazamiaji walikuwepo eneo la tukio kwa wakati
Asema wananchi wasibeze jitihada za...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji.
Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.