achunguzwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  2. A

    DOKEZO Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya Momba achunguzwe tabia zake kwasababu anaumiza Walimu kwa ukatili wake

    Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila kufuata utaratibu na malipo ya uhamisho imekuwa ni shida sana kulipwa. 2. Ari ya walimu kufanya kazi...
  3. Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

    Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa. Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili (...
  4. Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

    Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa. Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha. Phiri kaja...
  5. Dereva wa basi namba T331 BMM achunguzwe haraka kabla hajaua watu!

    Dereva wa basi hili namba T331 BMM jana tarehe 04/08/2023 wakati tunaelekea Dodoma alinifanyia overtaking mbaya sana na kidogo anisababishie ajali. Kani-overtake bila tahadhari ya kutosha ambapo kulikuwa na Semi-trailer inakuja kwa kasi kwenye njia yake ya kurudi Dar, hamadi Uso kwa Uso anakuta...
  6. DOKEZO Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Sengerema achunguzwe

    Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu. Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…