acid

  1. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  2. D

    Tatizo la Uric Acid

    Habari za jumapili wana jukwaa wote. Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid. Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake. Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO...
  3. mgagani2014

    Vyakula gani sipaswi kula endapo nina tatizo la acid reflux?

    Pia naomba kuuliza. Parachichi Apple Ndizi mbivu Wali Ugali Nyama Maziwa mtindi Maziwa fresh(boxed like asas and first choice) Wine. Mayai ya kukaanga au kuchemsha Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa? Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges. MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
  4. E

    Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  5. B

    Acid reflux ni kivipi inasababisha harufu mbaya kinywani?

    Habari wakuu naombeni msaada wenu. Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinywa. Nahitaji kujua kama sababu ya kutoa harufu mbaya...
  6. T

    Acid

    Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
  7. Rucho Herbal

    Acid reflux (GERD)/Kuzidi kwa acid tumboni

    TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD) NI NINI.? Gastroesophageal reflux disease (GERD); ⚫ Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na...
  8. Rose tesha

    Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  9. Kimosy

    Jamani natafuta apple acid vinegAr

    Jamani natafuta apple acid vinegAr inakouzwa hapa dar es salaam
  10. H

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini. Natanguliza shukrani
  11. magasi jnr

    Naomba kujua wapi naweza kununua LACTIC ACID NA CITRIC ACID

    Habarini wakuu, naomba msaada ni maduka yapi au maduka ya aina gani ninaweza kununua LACTIC na CITRIC ACID?
  12. Kasomi

    Ammwagia tindikali (acid) kisha akamuua mchepuko wake

    AMWAGIA TINDIKALI (ACID) KISHA AKAMUUA MCHEPUKO WAKE Mume wa mtu nchini Kenya, Evans Karani (38) ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mchepuko wake kwa jina la Catherine Nyokabi (25) huko Juja, Kiambu. Kwa mujibu wa television ya K24 na Standard Media, Mamlaka za serikali nchini humo zimesema...
Back
Top Bottom