acid reflux

  1. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  2. mgagani2014

    Vyakula gani sipaswi kula endapo nina tatizo la acid reflux?

    Pia naomba kuuliza. Parachichi Apple Ndizi mbivu Wali Ugali Nyama Maziwa mtindi Maziwa fresh(boxed like asas and first choice) Wine. Mayai ya kukaanga au kuchemsha Vitu gani Kati ya hivi sipaswi kutumia kabisa? Maana nasumbuliwa na acid reflux na tumba kujaa ges. MWENYE UFAHAMU NAOMBA ANIJUZE...
  3. mkolaj

    Tatizo la Acid Reflux

    Naomba msaada wanajf wenzangu, Nina tatizo la tumbo kujaa gesi pamoja na kuunguruma, maumivu ya tumbo kuzunguka kiuno, shingo kuuma na hata maumivu ya mgongo, kuna nyakati hata kichwa huwa kinaniuma. Juzi nilipopima afya nikaambiwa tumbo linatoa tindikali nying au kitalaam acid reflux...
Back
Top Bottom