acp kingai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ACP Kingai atamalizia Ushahidi wake. ======== Mawakili upande wa utetezi wapo katika chumba cha...
  2. Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

    Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani. Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani. ==== Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani Wakili wa serikali...
  3. H

    Kingai na Wenzake, Dirisha la Kuuona Uovu wa Polisi

    Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe imeweka wazi jinsi ndani ya Polisi kulivyo na magenge ya uharamia, ambayo kazi yale ni kuteka, kutesa na kubambikia watu kesi. Hata kabla ya kukamilika kwa kesi hii, na hukumu kutolewa, kuna mambo kadhaa yaliyo dhahiri: 1) Ndani ya jeshi la polisi, kama ilivyokuwa...
  4. ACP Kingai ni vyema na haki ikiwa utarejesha Tsh 260,000 fedha za mtuhumiwa wa ugaidi

    Wakuu wote heshima sana. Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu. Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya...
  5. Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

    Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of Tanzania. Kwakuwa nilimaliza kilichonipeleka mapema na niliwaona hata marafiki zangu wakijumuika...
  6. Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Jana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi kiasi kwamba akaanza kujichanganya na kupelekea watu hapa jukwaani kuhoji CV yake! Ikumbukwe kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…