Habari wana JF,
Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola.
Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...