Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini kimeamua kufungua kesi mahakamani kwenda kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa, Wasimamizi Wasaidizi pamoja na walioshinda na kuapishwa katika nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Novemba 27...