The Alliance for Change and Transparency (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots'), sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
TAARIFA KWA UMMA
Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu
ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia...
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali matukio kiliyoyaita ya kutekwa, kukamatwa, na kutishiwa kwa viongozi wake katika maeneo mbalimbali nchini, huku kikitaka hatua za haraka zichukuliwe kuhakikisha usalama wao.
Rahma Mwita, Msemaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa ACT Wazalendo ameeleza...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi wake, akiwemo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Nyamsanze, kata ya Buhoro, wilaya ya...
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma.
Soma...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza...
Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje
===
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick Kabepele ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora.
Kijiji hiki Mgombea wa ACT Wazalendo...
Imeshangaza nilivosikia katibu wa CCM Nchimbi akisema Chama chenye wagombea wengi cha upinzani ni ACT kwamba kina wagombea Zaid ya 3000
Me nimetoka Ngara hadi Dar sijaona mtaa wala Kijiji chenye mgombea wa ACT
ACT ni CCM B
ACT akishinda ni CCM imeshinda
Na Sasa ACT watapewa mitaa kadhaa ili...
Kwamba Mheshimiwa Rais anapongezwa kwa kuifungua Demokrasia nchini. Lakini maandamano ya kupinga Ufisadi, Ubadhirifu na hujuma zilizotajwa na CAG yakipigwa marufuku?
Kwamba Serikali inayopinga ubadhirifu,ndio hiyohiyo inayozuia maandamano ya wananchi kuipongeza kwa kuyaibua hayo madudu kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.