act

The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:

expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.

View More On Wikipedia.org
  1. ACT: Viongozi wetu waliozuiwa kuingia Angola wamerejea Nchini, tunasikitishwa na ukimya wa Serikali ya Tanzania

    Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT Wazalendo leo Machi 14, 2025, Mwanaisha Mndeme, viongozi...
  2. Pre GE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
  3. Tetesi: Mrisho Gambo kuhamia ACT Wazalendo?

    Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo. Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
  4. ACT yaitaka serikali kuimarisha utoaji wa mikopo kwa walemavu

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa utoaji wa mikopo kwa wananchi unazingatia makundi yote, hususan watu wenye ulemavu, bila ubaguzi. Kauli hiyo imetolewa siku ya Alhamisi na Katibu Mkuu wa ACT...
  5. Pre GE2025 ACT Wazalendo: Kuna Wakuu wa Mikoa wanaingilia michakato ya uwandikishaji wa wapiga kura wapya kwa kigezo cha kulinda amani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
  6. Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha. Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni. Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya...
  7. Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
  8. ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  9. Ado: ACT imejiridhisha maridhiano yaliyoahidiwa na Rais Samia yamesambaratika na falsafa yake ya 4R imeota mbawa

    ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama). Kikao hicho kilipokea...
  10. Tetesi: ACT Wazalendo : Kufanya Mkutano wa Halmashauri Kuu kubadili agenda ya No Reform No election

    Wakuu Kwa Taarifa zilizonifikia ni kuwa kikao cha Tundu Lissu pamoja na Ado Shaibu (KM ACT WAZALENDO) na Ismail Jussa, kilichofanyika jana ofisi za chadema AGENDA yao ilikuwa ni kuhusu NO REFORM NO Elections na hivyo wamekubaliana, hiyo imepelekea ACT kuitisha halmashauri kuu ili AGENDA hiyo...
  11. Pre GE2025 Kwa agenda za kujidhoofisha yenyewe, CHADEMA inaweza kuwa nafasi ya 6 au ya 9 uchaguzi mkuu wa 2025

    Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, lakini pia inajidhoofisha yenyewe na kujipoteza kabisa katika mstari wa...
  12. Pre GE2025 Aliyehamia CCM Zanzibar: Niligombea umakamu mwenyekiti ACT kumpinga Jussa akaniambia utakoma na hautakuwa

    Wanachama 2370 waliokua ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kiwani kwa miaka 20, Hija Hassan Hija, wamekabidhi kadi za ACT na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku akiweka bayana kuwa aligombea makamu uenyekiti kwenye chama chake cha awali kumpinga Ismail Jussa ambapo...
  13. M

    Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  14. Viktor Orban wa Hungary kama Membe wa ACT

    Huyu waziri mkuu wa Hungary ananikumbusha Bernard Membe alivyojiunga ACT akafanywa mgombea urais halafu akawa hafanyi kampeni anapiga ruti za Dubai tu na akagoma kujiuzulu pale chama chake walipoamua kumuunga Lissu mkono kama mgombea wao. Viktor Orban yeye anawatukana viongozi wenzake wa EU na...
  15. Pre GE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kuungana kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  16. ACT Wazalendo Calls on African Frontline States to Sever Diplomatic Ties with USA Over Aggressive Interference in South Africa

    ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response to its sovereign land reform (acts) and its principled stance against Israel’s genocide in Palestine...
  17. Pre GE2025 Mbunge Issa awaambia CCM hamuwezi kupata kura Konde, 'labda mje mtupige bakora, Sera zenu mbovu'

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo) Mohammed Said Issa ameibua mzozo Bungeni mara baada ya kusema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiwezi kupata kura katika jimbo lake kwa sababu sera zao ni mbovu. Mbunge Issa ameyasema hayo jioni ya tarehe 06 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
  18. ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  19. ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  20. Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

    Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…