Uraia Hai (active citizenship) unamaanisha watu kujihusisha katika jamii zao na demokrasia katika ngazi zote na kuelewa kuwa sisi sote ni tofauti, lakini jukumu la kubadilisha jamii zetu ni sawa. Uraia hai unaweza kuanzia katika ngazi ndogo kama vile kampeni ya kusafisha mtaa wako au kubwa kama...