Wasalaam wana JF
Miaka 50 baada ya uhuru bado nchi yetu ina struggle, mipango ya maendeleo na utekelezaji wake ni reflection ya pwagu na pwaguzi.
Nafasi zote za kazi zina matakwa ya kielimu, ujuzi na uzoefu isipokua siasa yaani uwakilishi wa wananchi bungeni, ujue kusoma na kuandika tu...