ada za maegesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Watoza ushuru wa maegesho ya magari Manispaa ya Morogoro wanatoza ushuru kinyume na utaratibu

    Naripoti kutoka Morogoro manispaa: Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na utaratibu. Ukiegesha gari bila kujali katika maegesho rasmi ya Manispaa au popote pale anakuja mtu wa...
  2. Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  3. A

    Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo; 1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1. 2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe). ====...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…