Adam Kighoma Ali Malima (born 26 June 1966) is a Tanzanian CCM politician and former Member of Parliament for Mkuranga constituency from 2010 to 2015. He was also the Deputy Minister of Finance and Economic Affairs.
Wakuu,
Mbona vitisho vimekuwa vingi sana kipindi hiko cha karibuni? Yaani kila mtu anamtisha mnyonge wake.
Kuna nini?
========================================================
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe Adam Malima ametishia kuwahamisha baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wa habari RC Malima amesema kuwa vyombo vya ulinzi...
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
Karibu mkoani Morogoro Karibu katika mkoa wa kilimo.
Tunakuomba utuombee kwa jamii ya wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani na baada ya hapo wachunge watakavyo.
Kwa mfumo wetu wa haki jinai wakulima wadogo hatuna ubavu mbele ya jamii hii ya wafugaji. Tuombee tu watuhurumie...
Mwanza imepoteza kiongozi mwana maendeleo, amehamishwa kuelekea Mkoa wa Morogoro.
Adam Malima hakika aliifuatilia miradi ya maendeleo kwa moyo mmoja, na hakusita kuwabana watu waliokuwa wanatapanya Mali za Wana mwanza.
Ujenzi wa uwanja wa ndege aliufuatilia Kila siku, pale mwanza jengo la...
Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake!
Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.
RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"
Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
Mh. Adam Malima nakupa hongera kwa majukumu ya siku hata siku nikiamini kwamba ushakaribia Tanga na umeanza majukumu yako.
Ninakuasa uwe kama Mh. Anna Mgwira au zaidi yake kwa kutenda haki na kukaripia viongozi wasio kua na utu wala uadilifu kama Sabaya. Mh Mgwira alikemea hadharani vitendo...
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.