adam malima

Adam Kighoma Ali Malima (born 26 June 1966) is a Tanzanian CCM politician and former Member of Parliament for Mkuranga constituency from 2010 to 2015. He was also the Deputy Minister of Finance and Economic Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. RC wa Morogoro Adam Malima achimba mkwara mzito kuwafuta kazi watendaji wa MORUWASA baada ya malalamiko kuwa mengi

    Wakuu, Mbona vitisho vimekuwa vingi sana kipindi hiko cha karibuni? Yaani kila mtu anamtisha mnyonge wake. Kuna nini? ======================================================== Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe Adam Malima ametishia kuwahamisha baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
  2. T

    LGE2024 RC Malima: Mume haruhusiwi kumkataza mke kujiandikisha, akibainika atakamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla. Akizungumza na waandishi wa habari RC Malima amesema kuwa vyombo vya ulinzi...
  3. RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  4. M

    RC Adam Malima tuombee kwa wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani

    Karibu mkoani Morogoro Karibu katika mkoa wa kilimo. Tunakuomba utuombee kwa jamii ya wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani na baada ya hapo wachunge watakavyo. Kwa mfumo wetu wa haki jinai wakulima wadogo hatuna ubavu mbele ya jamii hii ya wafugaji. Tuombee tu watuhurumie...
  5. Adam Malima, kiongozi aliyependa maendeleo ya Mkoa wa Mwanza, hakika utakumbukwa

    Mwanza imepoteza kiongozi mwana maendeleo, amehamishwa kuelekea Mkoa wa Morogoro. Adam Malima hakika aliifuatilia miradi ya maendeleo kwa moyo mmoja, na hakusita kuwabana watu waliokuwa wanatapanya Mali za Wana mwanza. Ujenzi wa uwanja wa ndege aliufuatilia Kila siku, pale mwanza jengo la...
  6. S

    MWANZA: Hivi RC Adam Malima kaletwa kwa kuwa ana uwezo au mkakati tu wa kisiasa?

    Nasema hivo kwa kuwa tokea aingie kinachofaanyika ni ujuaji na kubishana tu na watendaji wenzake! Mosi! Mfano mzuri ni ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege MWANZA maana mkuu wa mkoa amesikika akibishana na TAA ambayo imepanga kuanza ujenzi wa jengo kubwa ambayo itaaccomodate abiaria wa...
  7. RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  8. S

    RC Adam Malima, kuwa kama Anna Mghwira na sio kama Martin Shigela

    Mh. Adam Malima nakupa hongera kwa majukumu ya siku hata siku nikiamini kwamba ushakaribia Tanga na umeanza majukumu yako. Ninakuasa uwe kama Mh. Anna Mgwira au zaidi yake kwa kutenda haki na kukaripia viongozi wasio kua na utu wala uadilifu kama Sabaya. Mh Mgwira alikemea hadharani vitendo...
  9. Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel. Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani. Inasemekana gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…