Hakuna namna ya kuniambia kuwa Adam na hawa hawakuwa watanzania.
Picha linaanza, huko bonde la olvai (umasaini) ambapo Dr. Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kale zaidi (Kama sio la Adam basi la hawa).
Na tunafundishwa mashuleni kuwa habari kuhusu fuvu hilo ni za kweli. Hivyo basi...