Adani anajadiliwa sana Citizen TV na BBC kuanzia jana akihusishwa kutaka Kukodi Uwanja wa Ndege JKIA lakini huko India ana utata kwenye masoko ya Hisa
Nilisikia hapa Tanzania kuna ADANI pale TPA ndio nauliza ni huyu au ni yule Aidan Macmillan?
Mlale Unono 😀😀
Kwako Choicevariable
---
Kenya...